Nyota wa nyimbo za injili maarufu nchini Tanzania Flora
Mbasha, anategemea kuwa mwalimu wa Vocal Training ambayo itaanza
Jumatatu ya 25/1/2016. Msanii huyo ambaye aliwahi kutamba na nyimbo zake
kama Ndoa, Yatosha, Nipe Nguvu, Inua Moyo Wangu nk, ametoa wito huu kwa wadau na wapenzi wa burudani ya muziki.
“Karibu kwenye vocal training itaanza tar 25 Jan Jumatatu ijayo. Mwl
ni mimi Flora Mbasha. Kwa mawasiliano zaidi piga 0758105014. Kwa ajili
ya kuboresha sauti yako unahitaji training ya Mara kwa Mara. Kama hujui
kuimba na ungependa kujifunza unakaribishwa.” Alisema Flora
No comments:
Post a Comment