Baada ya ushindi wa tabu wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC, Yanga imeendelea kujiweka sawa.
Kwa
sasa Yanga ipo kileleni lakini pointi sawa na Azam FC. Inahitaji
kuhakikisha inashinda mechi ijayo kwa mabao ya kutosha ili kuendelea
kukaa kileleni.
Yanga
imeendelea kujifua chini ya Kocha Hans van der Pluijm katika mazoezi
yanayofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Cheki
mwenyewe.
No comments:
Post a Comment