Matokeo ya uchaguzi mkuu nchini
Hispania yanaashiria kuwa vyama viwili vimepata karibu theluthi moja ya
viti bungeni, na kufanikiwa kuutikisa mfumo wa vyama viwili ya siasa
nchini humo.
Kambi nyingine mpya , ya chama cha wananchi cha kiliberali, nacho kinatarajiwa kunyakua viti vingi.matokeo rasmi ya uchaguzi huo mkuu, ambao ni mkali kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa, yanatarajiwa kutolew
No comments:
Post a Comment