Rais
Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa
mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga
wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu Desemba 21, 2015
Rais John
Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada
yake Rais Mstaafu Dkt JAkaya Kkikwete, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete
kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu Desemba
21, 2015
Rais
Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini wakati wa
mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kkikwete, Marehemu Tausi
Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana
Jumatatu Desemba 21, 2015
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli, Marais Wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakishiriki katika dua wakati wa wa mazishi ya
dada yake Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete, Marehemu Tausi Khalfani
Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu
Desemba 21, 2015
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstaafu kt Jakaya Mrisho Kikwete
wakiondoka makaburini baada ya mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt
JAkaya Kikwete, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya
Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu Desemba 21, 2015 (P.T)
CHANZO; MJENGWA BLOG
No comments:
Post a Comment