Liverpool walianza kwa balaa Mechi hii baada ya Kipa wao Adam Bogdan, alieanza Mechi yake ya kwanza ya Ligi, kutema Kona na kumruhusu Nathan Ake kuipa Watford Bao la Kwanza katika Dakika ya 3 tu.
Mnigeria Odion Ighalo akaipa Watford, waliopanda Daraja Msimu huu. Bao 2 zaidi akifikisha Bao 12 Msimu huu na kuwapa ushindi wa 3-0 dhidi ya Liverpool ambayo haijashinda katika Mechi zao 3 zilizopita za Ligi na kutupwa Nafasi ya 9.
VIKOSI:
Watford: Gomes; Nyom, Cathcart, Britos, Ake; Abdi, Watson, Capoue, Jurado; Ighalo, Deeney
Akiba: Behrami, Oulare, Guedioura, Anya, Holebas, Diamanti, Arlauskis.
Liverpool: Bogdan; Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno; Henderson, Lucas, Can; Lallana, Firmino, Coutinho
Akiba: Toure, Benteke, Allen, Origi, Ibe, Fulton, Randall.
No comments:
Post a Comment