HAWA NDIYO BARCELONA WAITWANGA RIVER PLATE BAO 3 - O ANGALIA HAPA
BARCELONA
IMEITWANGA RIVER PLATE YA ARGENTINA KWA MABAO 3-0 NA KUIWEZESHA KUTWAA
UBINGWA WA KLABU BINGWA DUNIA. MICHUANO HIYO IMEFANYIKA NCHINI JAPAN.
MABAO YA BARCELONA LEO YAMEFUNGWA NA LIONEL MESSI NA LUIS SUAREZ AMBAYE
ALIPIGA BAO MBILI.
No comments:
Post a Comment