Kocha Mholanzi, Guus Hiddink ameanza kazi ya kocha wa muda wa Chelsea. Lakini amesema amuzungumza na Didier Drogba na kumshawishi kurejea Stamford Bridge na kuwa kocha msaidizi.
Bado jibu sahihi halijatoka, lakini kwa hali ilivyo inaonekana Drogba ambaye ni gwiji wa Chelsea atarejea na kuchukua nafasi hiyo.
26/12: Watford (H - Premier League)
28/12: Manchester United (A - PL)
03/01: Crystal Palace (A - PL)
10/01: Scunthorpe United (H - FA Cup)
13/01: West Bromwich Albion (H - PL)
16/01: Everton (H - PL)
No comments:
Post a Comment