Tuesday, 2 August 2016

VideoMPYA 9: Za Bongo za kutazama zilizoachiwa July


Zifuatazo ni video mpya za bongo  zilizotoka mwezi July 2016 ambazo zimechukua headlines …. kwanza kuitazama ni ya Diamond Platnumz ft Psquare iitwayo ‘kidogo‘ imewekwa July 12 2016 na mpaka sasa ina 2,506,666 viewers



Joh Makini ameachia video ya ngoma yake hii ya Perfect Combo”  toka July 14 2016 na mpaka sasa ina watazamaji 377,303.


 Jux ameachia ngoma yake yaWivu‘ toka July 15 2016 na mpaka sasa ina imetazamwa na watu 564,632 .


 




Nikki wa Pili kaachia video ya ngoma yake ‘Sweet MangiJuly 28 2016 aliomshirikisha chin bees na mpaka sasa ina watazamaji 31,934.

 

Roma nae kutoka na video ya wimbo wake ‘Kaa tayari July 13 2014 aliomshirikisha Jos Mtambo & Darasa


 
Makomando nao wameachia ngoma yao ya ‘WanachezajeJuly 18 2016 mpaka sasa ina  75,656 viewers



No comments:

Post a Comment