VIDEO: Jikumbushe TOP ya magoli bora ya UEFA EURO 2016
Michuano ya UEFA Euro 2016 ambayo imemalizika Ufaransa
bado itaendelea kukumbukwa kwa rekodi zake kadhaa, kuna vitu vingi
viliingia kwenye headlines ambavyo vitakumbukwa, ila kwa upande
wa magoli bora wametuletea TOP 10 ya magoli ya yaliyofumgwa katika michuano hiyo.
No comments:
Post a Comment