
Msanii na mtunzi wa nyimbo za Bongo Fleva,
Hamid Hafidhi maarufu kama
Ude Ude na rafiki yake
Iku wamefariki dunia wakiwa mkoani
Tanga.

Marehemu Ude Ude na rafiki yake Iku ambao wote wamefariki kwenye tukio hilo enzi za uhai wao
Marehemu Ude Ude alijipatia umaarufu kwenye muziki wa bongo fleva kwa
umahiri wake wa kuwatungia nyimbo wasanii ambapo nyimbo alizozitunga ni
pamoja na
Wangu na
Yahaya za
Lady Jay dee,Ballin and Chillin ya Sammisago.
R.I.P Rafiki Zetu, Roho za Marehemu zilale mahali pema peponi Amen.
No comments:
Post a Comment