Wednesday, 3 August 2016

Video,Raymond wa Wcb na muonekano mpya Kichwani.




Baada ya Jux kusuka kama Chris Brown na The Game sasa Instagram imegeka kwa msanii wa WCB wasafi Rayvanny aka Raymond, muonekano wake mpya kichwani umekuwa stori kubwa sana mitandaoni.


No comments:

Post a Comment