VIDEO & PICHA 8; magari yenye uwezo wa kupaa kama ndege
Najua umezoea kuona magari yanayotumika barabarani mtu wangu ila leo July 30 2016 nakusogezea magari yenye uwezo wa kupaa kama ndege ambayo tayari yanatumika katika nchi kama Massachusetts Marekani na Slovakia Hungary.
Mtu wangu nakusogezea Video na Picha ya magari haya na wewe ujionee pia usisahau kuniachia comment hapo chini.
No comments:
Post a Comment