Sunday, 31 July 2016

VIDEO: Jibu la Drogba kwa nini anaifunga Arsenal kila mechi


Mshambuliji wa kimataifa wa Ivory Coast aliyekuwa anaichezea klabu ya Chelsea ya England Didier Drogba, ameendeleza rekodi yake ya kuifunga Arsenal katika kila mchezo anaocheza dhidi yao, Drogba amecheza dhidi ya Arsenal mara 16 na kufunga mara zote, katika mashindano sita tofauti na viwanja vitano tofauti.

Drogba ameingia kwenye headlines baada ya kuifunga tena Arsenal katika mchezo wa kirafiki waliocheza Arsenal dhidi ya MLS All Stars na Arsenal kuibuka na ushindi wa goli 2-1, goli la MLS All Stars likifungwa na Didier Drogba.

No comments:

Post a Comment