Sunday, 31 July 2016

Hii video mpya ya Rihanna ‘Goodnight Gotham’ Enjoy


Yes kama wewe ni shabiki mkubwa wa Rihanna, hii video yake mpya akiwa na mashabiki wake ‘Navy’ “Goodnight Gotham.”
Clip hii fupi ilirekodiwa December 2014 kabla ya kutoka kwa album yake ya nane ya ANTI.

No comments:

Post a Comment