Diamond anasema “Tulikuwa tunazungumza kuhusu project ambayo tunatakiwa tuifanye, tuifanye Tanzania au tuifanye wapi, tulikuwa tunaangalia kwa benefit zote pia,mimi nilichosuggest nilimuambia ni vizuri tukifanya lakini tuwe na producer wa Afrika kumix vitu vya Kiafrika na tunaweza tukaifanyia huku tukatoka nayo tukaenda kuifanyia Tanzania pia sababu itaongeza impact kwa Afrika na kuonesha wamarekani kweli wanania ya kusaidia muziki wa Afrika” .
Sunday, 31 July 2016
Diamond Platnumz athibitisha ujio wa collabo na Swizz Beatz wa Marekani.
Diamond anasema “Tulikuwa tunazungumza kuhusu project ambayo tunatakiwa tuifanye, tuifanye Tanzania au tuifanye wapi, tulikuwa tunaangalia kwa benefit zote pia,mimi nilichosuggest nilimuambia ni vizuri tukifanya lakini tuwe na producer wa Afrika kumix vitu vya Kiafrika na tunaweza tukaifanyia huku tukatoka nayo tukaenda kuifanyia Tanzania pia sababu itaongeza impact kwa Afrika na kuonesha wamarekani kweli wanania ya kusaidia muziki wa Afrika” .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment