Tuzo ya mchezaji bora wa dunia maarufu kama Ballon d’Or
ni tuzo ambayo sio rahisi kwa kila mchezaji kuweza kushinda, kwani
inahitajika uwe na uwezo mkubwa ili uweze kupigiwa kura na kushinda tuzo
hiyo, July 29 2016 football daily wametaja list ya wanasoka 10 vijana wanaoweza kuja kushinda tuzo ya Ballon d’Or kwa miaka ya baadae.
No comments:
Post a Comment