Hizi ndio jezi mpya za Arsenal
zitakazovaliwa zaidi kwenye msimu huu wa BPL nchini Uingereza kwenye
mechi za ugenini, jezi hizi zilitambulisha mjini Las Angeles.
Kwenye kutambulisha hizi jezi mpya staa wa filamu kutoka Marekani Jamie Foxx alikuwepo.
Club legend Freddie Ljungberg aliyeacha
soka mwaka 2007 na sasa ni kocha wa timu ya Arsenal ya vijana wenye umri
chini ya miaka 16 alikuwepo. Jezi hizi zitatumika kwneye msimu wa
2016>>2017.
Jamie Foxx na Jezi mpya ya Arsenal
No comments:
Post a Comment