Kuna baadhi ya matukio ya kiufundi
katika soka hutokea mara chache sana hususani wakati wa kufunga,
haijalishi tukio hilo kafanya mchezaji gani na kwa wakati gani au ana
uwezo kiasi gani, ila kuna vitu ambavyo anaweza akafanya pasipo yeye
kutarajia, hii ni video yenye mkusanyiko wa magoli ya bahati kuwahi
kufungwa katika soka.
No comments:
Post a Comment