Mtangazaji huyo amesema Rihanna sio nwanamke ambaye mwanamume yoyote atataka kumuoa, alipoulizwa mawazo yake juu ya tetesi za uhusiano wa Rihanna na Drake.
“Nadhani Rihanna amefikia mahali kwenye maisha yake ambapo amekua holla back girl tu” Wendy William alisema “Holla back girl, ni msichana ambaye wanaume wanataka kumchezea tu, sio mwanamke wa kumtambulisha nyumbani”
Hakuishia hapo,
” Hawezi kumlaumu kutokana na tabia yake hasa ukiangalia umri wake, lakini siamini kama yupo serious na mtu yoyote kwasababu hakuna mtu yupo serious na yeye”
Mashabiki wa Rihanna, Rihanna Navy hawajamuacha hivi hivi, mtangazaji huyo anashambuliwa vibaya mno kwenye mitandao ya kijamii.
No comments:
Post a Comment