Kama wewe ni shabiki wa Justin Bieber hii inakuhusu.mkali
huyo wa R&B and Pop anaefanya vizuri na hits kama “Love
Yoursel”,”Sory”,na nyingine nyingi zinazopatikana kwenye album yake mpya
inayofahamika kama “Purpose”,kupitia acount yake ya instagram
amewashtua mashabiki wake worldwide baada ya kupost ujumbe unaodai kuwa
kuanzia sasa pindi atakapokua kwenye mizunguko yake hatapiga picha tena
na mashabiki kwa madai kuwa amekua akipata usumbufu hali inayomfanya
ajihisi kama yeye sio binadamu bali mnyama anaesubiri kutazamwa kwenye
jumba la maonesho.

Hata
hivyo muda mchache baada ya kupost ujumbe huo,aliufuta kabla ya
kurepost tena post hiyo ikionekana kuwa posted na account nyingine.

“If
you happen to see me out somewhere know that I’m not gonna take a
picture I’m done taking pictures. It has gotten to the point that people
won’t even say hi to me or recognize me as a human, I feel like a zoo
animal, and wanna be able to keep my sanity. I realize people will be
disappointed but I don’t owe anybody a picture. and people who say ‘but I
bought ur album’ know that you got my album and you got what you payed
for AN ALBUM! It doesn’t say in fine print whenever you see me you also
get a photo”.aliandika Bieber.
No comments:
Post a Comment