Wednesday, 11 May 2016

Trending,Video ya Wema Sepetu na mabusu kwenye hii filamu mpya na huyu jamaa.

Wema Sepetu ameonekana kwenye video fupi akimbusu mwigizaji Koko Byanko ikiwa ni sehemu ya maigizo ya filamu mpya. Mpaka sasa haijulikana filamu hii inaitwaje ila ujumbe kwenye post ya Koko umeandikwa ‘Shabiusi’.
Hii ndio video yenyewe.

No comments:

Post a Comment