Monday, 2 May 2016

Ubelgiji wanashindwa kutamka jina la Samatta, kutana na list ya majina 7 ya wanasoka magumu kuyatamka


Kama ambavyo wazungu wanapata tabu kutamka baadhi ya majina ya kibantu mfano jina la mwisho la mshambuliaji wa Tanzania anayecheza soka KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Ally Samatta na kuamua kutumia jina la Ally, ndivyo ambavyo watu kutoka nchi za bara la Afrika watakapopata tabu kutamka majina ya wanasoka hawa saba.
7- Anatoliy Tymoshchuk anacheza FC Kairat ya Kazakhstan
Tmoshuk
6- Šime Vrsaljko anachezea klabu ya Sassuolo
Šime-Vrsaljko
5- Kevin Großkreutz anacheza klabu ya VfB Stuttgart
Kevin-Großkreutz
4- Wojciech Szczęsny anacheza klabu ya AS Roma kwa mkopo akitokea Arsenal
Wojciech-s
3- Kolbeinn Sigþórsson anacheza klabu ya Nantes
Kolbeinn-Sigþórsson
2- Sokratis Papastathopoulos anachezea klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani
Papasto
1- Jakub Błaszczykowski anachezea klabu ya Borussia Dortmund
DORTMUND, GERMANY - NOVEMBER 26: Jakub Blaszczykowski of Dortmund celebrates scoring his team's second goal during the UEFA Champions League Group F match between Borussia Dortmund and SSC Napoli at Signal Iduna Park on November 26, 2013 in Dortmund, Germany. (Photo by Stuart Franklin/Bongarts/Getty Images)

No comments:

Post a Comment