Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein kabla ya kuanza
kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo
Mei 2, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini
Dodoma leo Mei 2, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini
Dodoma leo Mei 2, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (wa tatu
kushoto) akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania kilichofanyika leo katika ukumbi wa Tamisemi Mjini
Dodoma,(wa pili kushoto) ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment