Monday, 2 May 2016

MSOMAJI USIPITWE NA HIZI NAFASI ZA MASOMO KUTOKA ROYAL COLLAGE OF TANZANIA KINAWAPA FURSA YA KUSOMA MWAKA 2016 KWA MAENDELEO YAKO


Waswahili wanasema  bahati haiji mara mbili na wewe uliye maliza kidato cha nne na kufanikiwa kupata D nne na waahitimu kidato cha sita wawe na vyeti kutoka vyuo vinavyo tambuliwa na NACTE/ VETA pia wenye ufaulu chini ya D nne wataanza na kozi ya foundation ili kuwajengea uwezo tuna kukaribisha ili uweze kupata elimu bora mwaka huu 2016 ndani ya Royal College of Tanzania na chuo hiki kinapatikana Urafiki Estate Ubungo Dar Es Salaam.Na chuo kimesajiliwa na NACTE NO. REW/ PWF/ 004.
 
Image result for royal college of tanzania studio
 
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO MWAKA 2016 KAMA IFUATAVYO


Facebook > benadi kikoti
Namba ya simu > 0764304104
Email >benadikikoti50@gmail.com
blog > nitafute kupitia HABARIKATZ 
Kwa mawasiliano mengine soma tangazo hilo hapo juu

No comments:

Post a Comment