Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano wa wizara hiyo, Zawadi Msalla, amewaonya wasanii kuendelea kufanya kazi zao za muziki bila kufuata taratibu.
Zawadi Msalla anasema “Taratibu zinaeleza wazi, kwamba kabla ya kushoot video yako unatakiwa upeleke script ikaguliwe kwanza na baada ya hapo utapewa ruhusa ya kuendelea,”
“Sasa hivi tutakuwa wakali kweli hili, hili ni swala la kisheria taratibu ziko hivyo, kwa hiyo nikufuata taratibu tu,” aliongeza.
Kwa upande wa Mwanasheria wa Wizara ya Habari amesema msanii kuendesha kazi bila ya kuzingatia sheria ni kosa huku akiwataka wasanii kupeleka kazi zao Bodi ya Filamu kukaguliwa kabla ya kutoka.
Mwanasheria >>“Snura hajajisajili, ametoa kazi bila ya kupata kibali pamoja na kuitoa nyimbo bila ya kuipeleka sehemu husika kwa ajili ya kuifanyia ukaguzi ili kuithibitisha kama inafaa,”
Source Bongo5
No comments:
Post a Comment