Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipewa maelezo ya awali na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alipokagua daraja hilo leo Mei 10, 2016. Kulia ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.
Rais
Mstaafu Jakaya Kikwete akionyeshwa barabara zinazopishana ya juu na ya
chini, alipokagua daraja ya Nyerere, Dar es Salaam, leo Mei 10, 2016.
Rais
Mstaafu Jakaya Kikwete akiuliza jambo, alipokagua daraja la Nyerere,
Dar es Salaam, leo Mei 10, 2016. Kushoto ni Mama Salma Kikwete.
Rais
Mstaafu Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembea kwenye daraja
la Nyerere, Dar es Salaam, leo Mei 10, 2016, walipokagua daraja hilo.
Rais
Mstaafu Jakaya Kikwete akitazama moja ya ofisi zitakazotumiwa na magari
kulipia ushuru wa kutumia daraja la Nyerere, alipokagua daraja hilo leo
Mei 10, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment