Thursday, 5 May 2016

PICHA 6: Benz za umeme watakazopewa Leicester na bilionea baada ya kushinda Kombe la EPL


9266582012-Mercedes-Benz-B-Class-Electric-Drive-Concept-Interior-Front
Wachezaji wa klabu ya Leicester City ambao wameisaidia klabu hiyo kuingia katika historia isiyofutika ya kutwaa taji la Ligi Kuu Uingereza kwa mara kwanza toka ianzishwe miaka 132 iliyopita, tayari wameanza kupokea zawadi za pongezi kwa kuweka rekodi hiyo, lakini kubwa ni bilionea Vichai Srivaddhanaprabha kutangaza kuwapa zawadi ya Mercedes B-Class Electric Drive.
Mercedes B-Class Electric Drive ni gari ya umeme yenye thamani ya pound 32,670 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 100 za kitanzania, kiasi ambacho kwa wachezaji 30 watakuwa wamemgharimu Vichai Srivaddhanaprabha pound milioni 1 ambazo ni zaidi ya bilioni 3 za kibongo.
2012-Mercedes-Benz-B-Class-Electric-Drive-Concept-Front-3-4-Left
Hata hivyo kabla ya kutangaza kutoa zawadi hiyo Vichai Srivaddhanaprabha aliwahaidi wachezaji wa Leicester City kwenda kuenjoy kwa pamoja historia ya kutwaa taji hilo Las Vegas Marekani, gharama zote akizigharamia yeye.
2014-Mercedes-Benz-B-Class-Electric-Drive-charge-door-open
2015-mercedes-benz-b-class-electric-drive_100465354_l
2014-mercedes-benz-b-class-electric-drive-interior-rearseat-saddle
33CB8D0300000578-3574048-image-m-4_1462397114208

No comments:

Post a Comment