Mei 3 2016 klabu ya Manchester United ya Uingereza ilifanya na kutoa tuzo zake za mwaka kwa wachezaji ambao wamefanya vizuri katika msimu wa 2015/2016, Man United wametoa tuzo hizo kwa wachezaji kama Marcus Rashford ambaye ameshinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 18 na golikipa wao David de Gea ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka.
Mshambuliaji wao kutoka Ufaransa waliomsajili akitokea Monaco Anthony Martial yeye alifanikiwa kushinda tuzo ya mfungaji wa goli bora la msimu, goli ambalo alilifunga katika mchezo dhidi ya Liverpool. Unaweza anagalia pichaz na list ya washindi wote hapo chini.
No comments:
Post a Comment