Monday, 9 May 2016

Diamond kuperfom kwenye tamasha kubwa zaidi la Afrika ‘One Africa Music Festival’ New York,Marekani


Diamond Platnumz ni mmoja wa wasanii wengi wa Afrika ambao watashambulia jukwaa la tamasha la ‘One Africa Music Festival’
“We are about to Make a History America!!!” Diamond ameandika “Platnumz Diamond with my Fellow African brothers and Sisters will be Shutting the Barclays Center Down! On the 22nd Jully 2016 in New York!…. 20k Seat Capacity!…Now make sure you tell your Friend to tell a Friend👊🔥”
pl
Tamasha hilo litafanyika ukumbi wa Bacrays Center, Jijini New York wenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 20,000.
barclays-center                                          Ukumbi wa Barclays Center. 
‘One Africa Music Festival’ ndio tamasha kubwa zaidi la Afrika nchini Marekani, litafanyika tarehe 22 Julai mwaka huu.
Wasanii wengine ambao wamesha tangazwa hadi sasa ni Wizkid na Mr. Flavour

No comments:

Post a Comment