Monday, 9 May 2016

Mafikizolo kufanya ‘Media Tour’ Tanzania wiki ijayo

Kundi la wasanii wa Afrika kusini ‘Mafikizolo’ linatarajia kuja Tanzania wiki ijayo kwaajili ya ziara ya kuzunguka kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kutangaza ngoma yao mpya ‘Colours of Africa.
colours

Kundi hilo ambalo limemshirikisha Diamond kwenye wimbo wao mpya ‘Clours of Africa’ limetoa taarifa hiyo kupitia Instagram.
“10 may 2016 will be in Tanzania” wameandika “To promote colors of africa ft@diamondplatnumz and @djmaphorisa as we celebrate africa month the music video and the single is out”


No comments:

Post a Comment