Baada ya kimya kingi cha Mwanadada Lady Jay Dee ambaye aliendelea kuzua maswali kwa fans wake ya sintofamu kuhusiana na Muziki wake, Taarifa mpya zimepatikana kuhusiana na ujio wake mpya, baada ya kuanza kutuma ujumbe unaosema ” Bado siku 30 Naamka Tena”. Taarifa hizi zimeenea kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Whatsapp Groups nk.
Katika usambaaji wa taarifa hii tumebaini kipande cha video ambacho kinamuonesha Masoud Kipanya akichora maandishi yanayo husu ujio huo wa “Lady Jay Dee” unaweza ukahakiki nawewe kwa kuitazama clip hiyo hapa.
No comments:
Post a Comment