Sunday, 21 February 2016

Davido asema alimlipa MeekMill Million 400 kufanya nae collabo kwenye jarida la FADER la UK


Davido amefanya mahojiano na jarida la mashuhuri la uingereza la FADER lililopewa tittle ya “How Davido Became African Pop Music’s Fortunate Son”.
davi

Moja ya mambo aliyoyazungumzia ni pamoja na album yake mpya ‘Baddest’ ambapo amesema hadi sasa ametumia zaidi ya dolla Million 1 ambazo ni sawa Billion 1 za Bongo.

Pia amezungumzia collabo yake na rapper wa Marekani, MeekMill ‘Fans Mi’ CEO huyo wa HKN amesema alimlipa MeekMill dolla 200,000 ambazo ni sawa na Million 4,36,640,000 za Kitanzania.
davii

  Pia Msanii huyo wa Nigeria amesema huwa analipwa  $50,000 hadi $70,000 kwa ajili ya kutokea tu kwenye private party.   
daviii

No comments:

Post a Comment