Mtaalamu wa mauno on the stage maarufu kama “Snura Mushi” ameachia Track
mpya ambayo inaitwa “Chura” Track imetengezwa na Producer Aby Dady.
Tumia dakika zako kadhaa kusikiliza wimbo huo hapa ambao unamaadhi kama
Singeli ukimaliza tunakuomba usibanduke kwenye tovuti yetu coz bado
tunamengi ya kukujuza zaidi.
No comments:
Post a Comment