Moyes, aliyefutwa kazi na klabu hiyo baada ya kufanya kazi miezi kumi pekee, amesema klabu hiyo haifai kupata sifa za “klabu inayofuta mameneja kiholela”.
Amesema ingawa klabu hiyo ilishindwa na klabu ya Midttyland FC ya Denmark katika mechi ya Europa Leauge Alhamisi, bado kuna mechi ya marudiano nyumbani ambayo wanaweza kushinda.
Moyes mesema alisikitika sana alipofutwa kazi baada ya kufanya kazi miezi kumi pekee.
- Van Gaal: Tulishindwa kwa bahati mbaya
- Moyes asema anaweza kurudi Man Utd
- Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL
Ameambia BBC Sport kwamba baada ya mechi hiyo, Van Gaal alionekana kama mtu aliyeishiwa na mawazo na aliyesalimu amri.
Kwa mujibu wa Shearer, uchezaji wao Europa League siku ya Alhamisi ulikuwa duni sana.
Baada ya kufutwa kazi Manchester, Moyes alipata kazi Real Sociedad nchini Uhispania lakini akafutwa kazi baada ya kukaa mwezi mmoja.
No comments:
Post a Comment