Matokeo:
Jumapili 14 Februari 2016
Arsenal 2 Leicester 1
Aston Villa 0 Liverpool 6
Man City 1 Tottenham 2
Tottenham wameichapa Man City 2-1 huko Etihad na kuchukua Nafasi ya Pili kwenye Msimamo wa Ligi Kuu England wakiwa Pointi 2 nyuma ya Vinara Leicester City ambao mapema Leo walifungwa 2-1 na Arsenal huko Emirates.

Bao zote za Mechi ya Leo zilifungwa Kipindi cha Pili na ni Spurs ndio waliotangulia kwa Goli la Penati iliyopigwa na Harry Kane, Penati ambayo ilitolewa kiutata kwa madai Raheem Sterling aliunawa Mpira.
City walisawazisha kwa Bao la Mnigeria Kelechi Iheanacho alitokea Benchi lakini Spurs wakanyakua ushindi zikisalia Dakika 7 kwa Bao la Christian Eriksen.
MAGOLI:
Man City 1
-Kelechi Iheanacho, Dakika ya 74
Tottenham 2
-Harry Kane, Dakika ya 53 [Penati]
-Christian Eriksen, 83
Spurs na Arsenal zinafungana kwa Pointi zote zikiwa na Pointi 51 kila mmoja lakini Spurs wako juu kwa ubora wa Magoli na Nafasi ya 4 inashikwa na City ambao wana Pointi 47 wakifuatiwa na Man City wenye Pointi 41 huku kila Timu ikiwa imecheza Mechi 26 na kubakiza 12.
VIKOSI:
Man City: Hart; Zabaleta, Kompany, Otamendi, Clichy; Fernando, Fernandinho; Silva, Toure, Sterling; Aguero
Akiba: Kolarov, Caballero, Demichelis, Celina, Iheanacho, Aleix Garcia, Manu Garcia.
Tottenham Hotspur: Lloris; Walker, Alderweireld, Wimmer, Rose; Dier, Dembele; Son, Alli, Eriksen; Kane
Akiba: Mason, Lamela, Vorm, Trippier, Chadli, Carroll, Davies.
REFA: Mark Clattenburg
LIGI KUU ENGLAND
Ratiba
Jumamosi Februari 27
1545 West Ham v Sunderland
[Mechi zote kuanza 1800]
Leicester v Norwich
Southampton v Chelsea
Stoke v Aston Villa
Watford v Bournemouth
2030 West Brom v Crystal Palace
Jumapili Februari 28
[Mechi zote kuanza 1705]
Man United v Arsenal
Tottenham v Swansea
Jumanne Machi 1
[Mechi zote kuanza 2245]
Aston Villa v Everton
Bournemouth v Southampton
Leicester v West Brom
Norwich v Chelsea
Sunderland v Crystal Palace
Jumatano Machi 2
2245 Arsenal v Swansea
2245 Stoke v Newcastle
2245 West Ham v Tottenham
2300 Liverpool v Man City
2300 Man United v Watford
No comments:
Post a Comment