Elani ameachia Track yake mpya ambayo amemshirikisha Jose Chameleone wimbo unaitwa “My Darling” hivyo tumia dakika zako kadhaa kuisikiliza hiyo track hapa ukimaliza tunakuomba usibanduke kwenye tovuti yetu kwani tunaendelea kukujuza zaidi. Enjoy here
No comments:
Post a Comment