
Kampuni ya Internet ya Google imezindua mtandao wa aina ya Wi-Fi katika
mji mkuu wa Uganda wa Kampala. Hii ni sehemu ya mradi wa kampuni hiyo
wa Project Link ambao una lengo la kusaidia nchi zinazoendelea kuweza
kupata mtandao wa Internet ulio bora tena rahisi.
No comments:
Post a Comment