MAJOGOO WA LANDANI LIVERPOOL WAENDELEZA KICHAPO SOUTHAMPTON YAWAKUTA
southampton leo walijitosa uwanjani kucheza na liverpool chenye michuano ya capital one wakijikuta wakipata kichapo cha goli 6 - 1 ambapo magoli kwa upande wa liverpool ya mefungwa na
Daniel Sturridge dakika ya 26 na 29 ( 2 ) Divock Orig dakika ya 45, 69 na 86 ( 3 ) Jordon Ibe dakika ya 73 ( 1 ) Na goli la kufutia machozi kwa upande wa southampton lilifungwa na Sadio mane dakika ya kwanza katika kipindi cha nzanza.
No comments:
Post a Comment