
AS Roma walishinda kwa Bao A Kipindi cha Kwanza za Mohamed Salah.
Kipigo hiki kimewadondosha Fiorentina kutoka Nafasi ya Kwanza hadi
ya 3 kufuatia Napoli kuifunga Chievo Bao 1-0 na kukamata Nafasi ya Pili.
Bao la Napoli lilifungwa na Gonzalo Higuain hili likiwa Bao lake la 7 katika Mechi 9.
Inter Milan wapo Nafasi ya 4 baada kutoka 1-1 na Palermo.
Mabingwa Watetezi Juventus wapo Nafasi ya 12 wakiwa Pointi 6 nyuma
ya Vinara AS Roma baada Jana kushinda 2-0 walipocheza na Atalanta.
SERIE A
Msimamo- Timu za Juu
(Baada Mechi 9)
1. AS Roma Pointi 20
2. Napoli 18
3. Fiorentina 18
4. Inter Milan 18
5. Lazio 18
6. Sassuolo 15
No comments:
Post a Comment