Wednesday, 24 August 2016

VIDEO & PICHA : Uwezo wa gari linalojiendesha litakalozinduliwa rasmi mwakani


Mtu wangu kama wewe ni mpenzi wa kufuatilia updates za magari, taarifa hii ikufike ya gari aina ya Mercedes F015 ambayo imetengenezwa na wajerumani, kampuni ya the house of German Mercedes yenye uwezo wa kujiendesha yenyewe bila dereva.

Gari hii ina uwezo wa kuhisi pale ambapo kitu chochote au mtu anapita mbele yake na likasimama lina uwezo wa kutumia sauti kama njia ya kumpa mtu taarifa, siti za mbele zina uwezo wa kuzunguka na kugeukia upande wa nyuma endapo watu watajisikia kupiga story kwa kuangaliana.
Gari hiyo itazinduliwa rasmi na kuanza kuuzwa kwa matumizi binafsi kama magari mengine rasmi mwaka 2017, unaweza kuangalia picha hizi hapa chini
Mercedes-Benz-F-015-2017-Engine
maxresdefault
mercedes-benz-f-015-lim-detroit-11
The Mercedes-Benz F 015 Luxury in Motion.
mercedes_benz_f015_ap
2017-Mercedes-Benz-F-015-Release-Date
2017-Mercedes-Benz-F-015-Interior
mercedes-benz_f015_interior-2-100539060-orig
unaweza itazama video ya gari hili hapa chini mtu wangu

No comments:

Post a Comment