unajua hiki ni kipindi ambacho
wachezaji soka duniani kote wanamalizia mapumziko ya likizo zao za soka
baada ya Ligi zao kumalizika na sasa wanajiandaa kwa ajili ya msimu mpya
wa 2016/2017, Cristiano Ronaldo ambaye aliiongoza Ureno kutwaa Euro 2016, ametumia muda wake na familia yake mama, mwanae na ndugu zake kwenda fukwe za Ibiza Hispania mapuzikoni.
No comments:
Post a Comment