Timu ya Medeama FC kutoka Ghana imewasili leo mchana jijini Dar
es saalam tayari kabisa kwa mchezo wake dhidi ya Yanga SC katika kombe
la shirikisho.Mchezo huo unatarajiwa kupigwa jumamosi ya wiki hii pale
uwanja wa taifa.
nimekuandalia video inayoonyesha ripoti kamaili ya yaliyojiri.
No comments:
Post a Comment