Jeshi
la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa
jina la Zakaria Benjamini mkazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro baada ya
kuingia hospitali ya rufaa kwa nia ya kufanya utapeli na kutaka kutoa
huduma kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo.
No comments:
Post a Comment