Tuesday, 19 July 2016

Chid Benz kuachia wimbo mpya ‘Chuma’ aliomshirikisha Raymond Leo

The Return of King Kong, Chid Benz anaachia wimbo mpya leo ‘Chuma’
Kwenye wimbo huo Chid amemshirikisha Raymond kutoka WCB na imeandaliwa na producer wawili, Mr. T- Touch na Laizer, Taarifa hiyo iliyopokelewa kwa shangwe na mashabiki waliomiss ameitoa mwenyewe kupitia mtandao wa Instagram, ameandika,

“Mashabiki zangu pendwa kijana wenu king kong leo naachia mashine kali inaitwa chuma nime mshirikisha mdogowangu @rayvannyimetengenezwa na producers laizer na mr t touch hivyo naombeni support yenu kubwa kuifikisha mbali” Chiz Benz ameandika kwenye Instagram yake.

No comments:

Post a Comment