Mshindi wa tuzo ya BET, Black Coffee ambae alikuwa akiwania tuzo aliyokuwa akishindania Diamond Platnumz ya Best International Act Africa
ama msanii bora wa kimataifa kutoka Afrika, hapa ametusogezea hii moja
kati ya kolabo alizozikamilisha ikiwemo hii ya remix ya wimbo wa msanii
wa marekani Alicia Keys.
No comments:
Post a Comment