June 8 2016 Serikali kupitia Wizara ya fedha na mipango
imewasilisha bungeni Dodoma mapendekezo ya makadirio ya mapato na
matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2016. Jukumu la kuwasilisha limefanywa
na Waziri Philip Mpango.
Baada ya
kumalizika kwa uwasilishaji huo, Naibu spika Tulia Ackson akasimama
kusoma mwongozo kuhusu wabunge wanaotoka nje ya bunge huku wakiendelea
kupokea posho.
‘Mbunge
anatakiwa kulipwa mshahara au posho kulingana na kushiriki mijadala ya
bunge, kususia au kutotimiza wajibu wake na si halali kupokea malipo‘
‘Natamka
kuwa wabunge waliotoka nje ya ukumbi kwa shughuri zisizokuwa rasmi
hawastahili kulipwa posho kwa siku zote ambazo watakuwa nje mpaka
tutakapotangaza utaratibu mwingine ‘
No comments:
Post a Comment