Ukizungumzia wanamichezo wanawake matajiri duniani huwezi kuacha kulitaja jina la Maria Sharapova ambaye ni mcheza tennis maarufu. Maria Sharapova ameingia
kwenye headlines baada ya kuripotiwa kufungiwa kucheza Tennis kwa muda
wa miaka miwili, hiyo ni baada ya vipimo kuthibitisha kuwa anatumia
madawa ya kusisimua misuli.
Wednesday, 8 June 2016
Mchezaji tennis Maria Sharapova amefungiwa miaka miwili kucheza mchezo huo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment