EURO 2016
Matokeo:
Jumatano Juni 15
KUNDI B, Russia 1 Slovakia 2
KUNDI A, Romania v Switzerland (1900, Parc des Princes, Paris)
KUNDI A, France v Albania (2200, Stade Velodrome, Marseille)
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Wakicheza ndani ya Stade Pierre Mauroy Mjini Lille huko France, Slovakia wameitandika Russia 2-1 katika Mechi ya Kundi B la EURO 2016 na hizi ni Mechi za Pili kwa kila Timu.
Slovakia waliongoza 2-0 hadi Mapumziko kwa Bao za Vladimir Weiss katika Dakika ya 32 alipotengenezewa na Kiungo wa Napolo Marek Hamsik ambae nae alifunga Bao la Pili Dakika ya 45.
Russia, ambao wana kitanzi shingoni baada ya kuhukumiwa na UEFA Adhabu iliyositishwa ya kutupwa nje ya EURO 2016 kutokana na fujo za Mashabiki wao kwenye Mechi yao ya kwanza na England, walipata Bao lao moja Dakika ya 80 Mfungaji akiwa Denis Glushakov.
Lakini Bao hilo lilileta tukio la Mashabiki wao kufyatua Fataki Uwanjani na sasa inabaki juu ya UEFA kuamua Russia wabaki France au la.
Ikiwa UEFA itawabakisha, basi Russia wanapaswa kuifunga Wales katika Mechi yao ya mwisho ya Kundi B ikiwa ili wawe na nafasi ya kusonga Hatua ya Mtoano.
Nao Slovakia, ambao walifungwa na Wales katika Mechi yao ya kwanza, wanapaswa kuifunga England katika Mechi yao ya mwisho ili wafuzu.
EURO 2016
Ratiba/Matokeo:
**Saa za Bongo
Ijumaa Juni 10
KUNDI A, France 2 Romania 1
Jumamosi Juni 11
KUNDI A, Albania 0 Switzerland 1
KUNDI B, Wales 2 Slovakia 1
KUNDI B, England 1 Russia 1
Jumapili Juni 12
KUNDI D, Turkey 0 Croatia 1
KUNDI C, Poland 1 Northern Ireland 0
KUNDI C, Germany 2 Ukraine 0
Jumatatu Juni 13
KUNDI D, Spain 1 Czech Republic 0
KUNDI E, Republic of Ireland 1 Sweden 1
KUNDI E, Belgium 0 Italy 2
Jumanne Juni 14
KUNDI F, Austria 0 Hungary 2
KUNDI F, Portugal 1 Iceland 1
Jumatano Juni 15
KUNDI B, Russia 1 Slovakia 2
KUNDI A, Romania v Switzerland (1900, Parc des Princes, Paris)
KUNDI A, France v Albania (2200, Stade Velodrome, Marseille)
Alhamisi Juni 16
KUNDI B, England v Wales (1700, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
KUNDI C, Ukraine v Northern Ireland (1900, Stade de Lyon)
KUNDI C, Germany v Poland (2200, Stade de France, Paris)
Ijumaa Juni 17
KUNDI E, Italy v Sweden (1700, Stadium de Toulouse)
KUNDI D, Czech Republic v Croatia (1900, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
KUNDI D, Spain v Turkey (2200, Stade de Nice)
Jumamosi Juni 18
KUNDI E, Belgium v Republic of Ireland (1700, Stade de Bordeaux)
KUNDI F, Iceland v Hungary (1900, Stade Velodrome, Marseille)
KUNDI F, Portugal v Austria (2200, Parc des Princes, Paris)
Jumapili Juni 19
KUNDI A, Romania v Albania (2200, Stade de Lyon)
KUNDI A, Switzerland v France (2200, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumatatu Juni 20
KUNDI B, Russia v Wales (2200, Stadium de Toulouse)
KUNDI B, Slovakia v England (2200, Stade Geoffroy Guichard)
Jumanne Juni 21
KUNDI C, Ukraine v Poland (19000, Stade Velodrome)
KUNDI C, Northern Ireland v Germany (1900, Parc des Princes)
KUNDI D, Czech Republic v Turkey (2200, Stade Bollaert-Delelis)
KUNDI D, Croatia v Spain (2200, Stade de Bordeaux)
Jumatano Juni 22
KUNDI F, Iceland v Austria (1900, Stade de France)
KUNDI F, Hungary v Portugal (1900, Stade de Lyon)
KUNDI E, Italy v Republic of Ireland (2200, Stade Pierre Mauroy)
KUNDI E, Sweden v Belgium (2200, Stade de Nice)
Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Jumamosi Juni 25
Mshindi wa Pili KUNDI A v Mshindi wa Pili KUNDI C (1700, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
Mshindi KUNDI B v Mshindi wa 3 KUNDI A/C/D (1900, Parc des Princes, Paris)
Mshindi KUNDI D v Mshindi wa 3 KUNDI B/E/F (2200, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
Jumapili Juni 26
Mshindi KUNDI A v Mshindi wa 3 KUNDI C/D/E (1700, Stade de Lyon)
Mshindi KUNDI C v Mshindi wa 3 KUNDI A/B/F (1900, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Mshindi KUNDI F v Mshindi wa Pili KUNDI E (2200, Stadium de Toulouse)
Jumatatu Juni 27
Mshindi KUNDI E v Mshindi wa Pili KUNDI D (1900, Stade de France, Paris)
Mshindi wa Pili KUNDI B v Mshindi wa Pili KUNDI F (2200, Stade de Nice)
Robo Fainali
Alhamisi Juni 30
Robo Fainali ya 1, (2200, Stade Velodrome, Marseille)
Ijumaa Julai 1
Robo Fainali ya 2, (2200, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumamosi Julai 2
Robo Fainali ya 3, (2200, Stade de Bordeaux)
Jumapili Julai 3
Robo Fainali ya 4, (2200, Stade de France, Paris)
Nusu Fainali
Jumatano Julai 6
Mshindi Robo Fainali ya 1 v Mshindi Robo Fainali ya 2 (2200, Stade de Lyon)
Alhamisi Julai 7
Mshindi Robo Fainali ya 3 v Mshindi Robo Fainali ya 4 (2200, Stade Velodrome, Marseille)
Fainali
Jumapili Julai 10
(2200, Stade de France, Paris)
++++++++++++++++++++++++++++++
Viwanja 10 vya Mechi za Fainali:
Stade de Bordeaux, Bordeaux (Watu 42,000)
Stade Bollaert Delelis, Lens Agglo (35,000)
Stade Pierre Mauroy, Lille Metropole (50,100)
Stade de Lyon, Lyon (58,000)
Stade Velodrome, Marseilles (67,000)
Stade de Nice, Nice (35,000)
Parc des Princes, Paris (45,000)
Stade de France, Saint-Denis (80,000)
Stade Geoffroy Guichard, Saint-Etienne (41,500)
Stadium de Toulouse, Toulouse (33,000)
**Fainali itachezwa Stade de France
++++++++++++++++++++++++++++++
EURO 2016
MAKUNDI:
KUNDI A: France, Romania, Albania, Switzerland.
KUNDI B: England, Russia, Wales, Slovakia.
KUNDI C: Germany, Ukraine, Poland, Northern Ireland.
KUNDI D: Spain, Turkey, Czech Republic, Croatia.
KUNDI E: Belgium, Republic of Ireland, Sweden, Italy.
KUNDI F: Portugal, Iceland, Austria, Hungary.
Fainali zitafanyika lini:
-Euro 2016 itaanza Ijumaa Juni 10 na kumalizika Jumapili Julai 10.
-Hii ni mara ya kwanza kwa Fainali hizi kuwa na Timu 24 na hivyo itakuwepo Raundi ya Mtoano ya Timu 16, kisha Robo Fainali na Nusu Fainali.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++
No comments:
Post a Comment