Thursday, 9 June 2016

EURO 2016 – FAINALI KUANZA IJUMAA JUNI 10, YAJUE MAMBO MUHIMU!


Image result for euro 2016

Euro 2016, Mashindano ya Mataifa ya Ulaya, yanaanza Ijumaa Juni 10 kwa Wenyeji France kufungua dimba kwa kucheza na Romania katika Mechi ya Kundi A itakayochezwa Stade de France Mjini Paris.
Mashindano haya yatashirikisha Timu 24 na kuchezwa katika Viwanja 10 tofauti Nchini France huku Fainali ikipigwa Julai 10 pia kwenye Stade de France Mjini Paris kama Mechi ya ufunguzi.
Mabingwa Watetezi wa Mashindano haya ni Spain ambao walibeba Kombe Mwaka 2012 na pia kabla ya hapo Mwaka 2008.
Safari hii, EURO 2016 ina Timu 24 badala ya zile 16 za kawaida zikiwa zimegawanywa Makundi 6 ya Timu 4 kila moja.
Hivyo, Bingwa na Mshindi wa Pili wa kila Kundi pamoja na Timu 4 Bora zitakazoshika Nafasi za Tatu za Makundi zitatinga Raundi ya Mtoano ya Timu 16.
Hilo litafanya Timu 8 tu kati ya 24 zitakazocheza Makundi kushindwa kufuzu Raundi ya Mtoano ya Timu 16.

EURO 2016 - Fainali
MAKUNDI:
KUNDI A: France, Romania, Albania, Switzerland.
KUNDI B: England, Russia, Wales, Slovakia.
KUNDI C: Germany, Ukraine, Poland, Northern Ireland.
KUNDI D: Spain, Turkey, Czech Republic, Croatia.
KUNDI E: Belgium, Republic of Ireland, Sweden, Italy.
KUNDI F: Portugal, Iceland, Austria, Hungary.
Fainali zitafanyika lini:
-Euro 2016 itaanza Ijumaa Juni 10 na kumalizika Jumapili Julai 10.
-Hii ni mara ya kwanza kwa Fainali hizi kuwa na Timu 24 na hivyo itakuwepo Raundi ya Mtoano ya Timu 16, kisha Robo Fainali na Nusu Fainali.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Viwanja 10 vya Mechi za Fainali:
Stade de Bordeaux, Bordeaux (Watu 42,000)
Stade Bollaert Delelis, Lens Agglo (35,000)
Stade Pierre Mauroy, Lille Metropole (50,100)
Stade de Lyon, Lyon (58,000)
Stade Velodrome, Marseilles (67,000)
Stade de Nice, Nice (35,000)
Parc des Princes, Paris (45,000)
Stade de France, Saint-Denis (80,000)
Stade Geoffroy Guichard, Saint-Etienne (41,500)
Stadium de Toulouse, Toulouse (33,000)
**Fainali itachezwa Stade de France
EURO 2016
Ratiba
**Saa za Bongo
Ijumaa Juni 10
KUNDI A, France v Romania (2300, Stade de France, Paris)
Jumamosi Juni 11
KUNDI A, Albania v Switzerland (1700, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
KUNDI B, Wales v Slovakia (2000, Stade de Bordeaux)
KUNDI B, England v Russia (2300, Stade Velodrome, Marseille)
Jumapili Juni 12
KUNDI D, Turkey v Croatia (1700, Parc des Princes, Paris)
KUNDI C, Poland v Northern Ireland (2000, Stade de Nice)
KUNDI C, Germany v Ukraine (2300, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumatatu Juni 13
KUNDI D, Spain v Czech Republic (1700, Stadium de Toulouse)
KUNDI E, Republic of Ireland v Sweden (2000, Stade de France, Paris)
KUNDI E, Belgium v Italy (2300, Stade de Lyon)
Jumanne Juni 14
KUNDI F, Austria v Hungary (2000, Stade de Bordeaux)
KUNDI F, Portugal v Iceland (2300, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
Jumatano Juni 15
KUNDI B, Russia v Slovakia (1700, Stade Pierre Mauroy, Lille)
KUNDI A, Romania v Switzerland (2000, Parc des Princes, Paris)
KUNDI A, France v Albania (2300, Stade Velodrome, Marseille)
Alhamisi Juni 16
KUNDI B, England v Wales (1700, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
KUNDI C, Ukraine v Northern Ireland (2000, Stade de Lyon)
KUNDI C, Germany v Poland (2300, Stade de France, Paris)
Ijumaa Juni 17
KUNDI E, Italy v Sweden (1700, Stadium de Toulouse)
KUNDI D, Czech Republic v Croatia (2000, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
KUNDI D, Spain v Turkey (2300, Stade de Nice)
Jumamosi Juni 18
KUNDI E, Belgium v Republic of Ireland (1700, Stade de Bordeaux)
KUNDI F, Iceland v Hungary (2000, Stade Velodrome, Marseille)
KUNDI F, Portugal v Austria (2300, Parc des Princes, Paris)
Jumapili Juni 19
KUNDI A, Romania v Albania (2300, Stade de Lyon)
KUNDI A, Switzerland v France (2300, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumatatu Juni 20
KUNDI B, Russia v Wales (2300, Stadium de Toulouse)
KUNDI B, Slovakia v England (2300, Stade Geoffroy Guichard)
Jumanne Juni 21
KUNDI C, Ukraine v Poland (20000, Stade Velodrome)
KUNDI C, Northern Ireland v Germany (2000, Parc des Princes)
KUNDI D, Czech Republic v Turkey (2300, Stade Bollaert-Delelis)
KUNDI D, Croatia v Spain (2300, Stade de Bordeaux)
Jumatano Juni 22
KUNDI F, Iceland v Austria (2000, Stade de France)
KUNDI F, Hungary v Portugal (2000, Stade de Lyon)
KUNDI E, Italy v Republic of Ireland (2300, Stade Pierre Mauroy)
KUNDI E, Sweden v Belgium (2300, Stade de Nice)
Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Jumamosi Juni 25
Mshindi wa Pili KUNDI A v Mshindi wa Pili KUNDI C (1700, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
Mshindi KUNDI B v Mshindi wa 3 KUNDI A/C/D (2000, Parc des Princes, Paris)
Mshindi KUNDI D v Mshindi wa 3 KUNDI B/E/F (2300, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
Jumapili Juni 26
Mshindi KUNDI A v Mshindi wa 3 KUNDI C/D/E (1700, Stade de Lyon)
Mshindi KUNDI C v Mshindi wa 3 KUNDI A/B/F (2000, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Mshindi KUNDI F v Mshindi wa Pili KUNDI E (2300, Stadium de Toulouse)
Jumatatu Juni 27
Mshindi KUNDI E v Mshindi wa Pili KUNDI D (2000, Stade de France, Paris)
Mshindi wa Pili KUNDI B v Mshindi wa Pili KUNDI F (2300, Stade de Nice)
Robo Fainali
Alhamisi Juni 30
Robo Fainali ya 1, (2300, Stade Velodrome, Marseille)
Ijumaa Julai 1
Robo Fainali ya 2, (2300, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumamosi Julai 2
Robo Fainali ya 3, (2300, Stade de Bordeaux)
Jumapili Julai 3
Robo Fainali ya 4, (2300, Stade de France, Paris)
Nusu Fainali
Jumatano Julai 6
Mshindi Robo Fainali ya 1 v Mshindi Robo Fainali ya 2 (2300, Stade de Lyon)
Alhamisi Julai 7
Mshindi Robo Fainali ya 3 v Mshindi Robo Fainali ya 4 (2300, Stade Velodrome, Marseille)
Fainali
Jumapili Julai 10
(2300, Stade de France, Paris)

1 comment:

  1. ACHA KUKOPI TOKA www.sokaintanzania.com

    HATUA KALI ZINAFUATA

    ReplyDelete