Wednesday, 15 June 2016

EURO 2016: DAKIKA ZA MWISHONI WENYEJI FRANCE KIDEDEA, WATINGA MTOANO!


EURO 2016
Matokeo:
Jumatano Juni 15
KUNDI B, Russia 1 Slovakia 2
KUNDI A, Romania 1 Switzerland 1
KUNDI A, France 2 Albania 0 

ssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss

Wenyeji France wamepata ushindi wa 2-0 na kutinga Raundi ya Mtoano ya Timu 16 wakiwa na Mechi 1 mkononi walipoifunga Albania katika Mechi ya Kundi A la EURO 2016 iliyochezwaEURO2016-TEBO-JUNI15 huko Stade Velodrome, Marseille.
Albania waliwamudu vyema France kwa Dakika 89 na ndipo Antoine Griezmann, alietokea Benchi, kuwatoboa kwa Bao la Kichwa na kwenye Dakika za Majeruhi, Dakika ya 95, Dimitri Payet kufunga Bao la Pili.
Baada ya Mechi 2 France wapo juu Kundi A wakiwa na Pointi 6 wakifuata Uswisi wenye Pointi 4, Romania 1 na Albania 0.
VIKOSI:
France: Lloris; Sagna, Rami, Koscielny, Evra; Kante, Matuidi; Coman (Griezmann), Payet, Martial (Pogba); Giroud (Gignac)
Albania: Berisha, Hysaj, Ajeti, Mavraj, Agolli, Lila (Roshi), Abrashi, Kukeli (Xhaka), Memushaj, Lenjani, Sadiku
REFA: Willie Collum (Scotland)
EURO 2016
Ratiba/Matokeo:
**Saa za Bongo
Ijumaa Juni 10
KUNDI A, France 2 Romania 1
Jumamosi Juni 11
KUNDI A, Albania 0 Switzerland 1
KUNDI B, Wales 2 Slovakia 1
KUNDI B, England 1 Russia 1
Jumapili Juni 12
KUNDI D, Turkey 0 Croatia 1
KUNDI C, Poland 1 Northern Ireland 0
KUNDI C, Germany 2 Ukraine 0
Jumatatu Juni 13
KUNDI D, Spain 1 Czech Republic 0
KUNDI E, Republic of Ireland 1 Sweden 1
KUNDI E, Belgium 0 Italy 2
Jumanne Juni 14
KUNDI F, Austria 0 Hungary 2
KUNDI F, Portugal 1 Iceland 1
Jumatano Juni 15
KUNDI B, Russia 1 Slovakia 2
KUNDI A, Romania 1 Switzerland 1
KUNDI A, France 2 Albania 0
Alhamisi Juni 16
KUNDI B, England v Wales (1700, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
KUNDI C, Ukraine v Northern Ireland (1900, Stade de Lyon)
KUNDI C, Germany v Poland (2200, Stade de France, Paris)
Ijumaa Juni 17
KUNDI E, Italy v Sweden (1700, Stadium de Toulouse)
KUNDI D, Czech Republic v Croatia (1900, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
KUNDI D, Spain v Turkey (2200, Stade de Nice)
Jumamosi Juni 18
KUNDI E, Belgium v Republic of Ireland (1700, Stade de Bordeaux)
KUNDI F, Iceland v Hungary (1900, Stade Velodrome, Marseille)
KUNDI F, Portugal v Austria (2200, Parc des Princes, Paris)
Jumapili Juni 19
KUNDI A, Romania v Albania (2200, Stade de Lyon)
KUNDI A, Switzerland v France (2200, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumatatu Juni 20
KUNDI B, Russia v Wales (2200, Stadium de Toulouse)
KUNDI B, Slovakia v England (2200, Stade Geoffroy Guichard)
Jumanne Juni 21
KUNDI C, Ukraine v Poland (19000, Stade Velodrome)
KUNDI C, Northern Ireland v Germany (1900, Parc des Princes)
KUNDI D, Czech Republic v Turkey (2200, Stade Bollaert-Delelis)
KUNDI D, Croatia v Spain (2200, Stade de Bordeaux)
Jumatano Juni 22
KUNDI F, Iceland v Austria (1900, Stade de France)
KUNDI F, Hungary v Portugal (1900, Stade de Lyon)
KUNDI E, Italy v Republic of Ireland (2200, Stade Pierre Mauroy)
KUNDI E, Sweden v Belgium (2200, Stade de Nice)
Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Jumamosi Juni 25
Mshindi wa Pili KUNDI A v Mshindi wa Pili KUNDI C (1700, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
Mshindi KUNDI B v Mshindi wa 3 KUNDI A/C/D (1900, Parc des Princes, Paris)
Mshindi KUNDI D v Mshindi wa 3 KUNDI B/E/F (2200, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
Jumapili Juni 26
Mshindi KUNDI A v Mshindi wa 3 KUNDI C/D/E (1700, Stade de Lyon)
Mshindi KUNDI C v Mshindi wa 3 KUNDI A/B/F (1900, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Mshindi KUNDI F v Mshindi wa Pili KUNDI E (2200, Stadium de Toulouse)
Jumatatu Juni 27
Mshindi KUNDI E v Mshindi wa Pili KUNDI D (1900, Stade de France, Paris)
Mshindi wa Pili KUNDI B v Mshindi wa Pili KUNDI F (2200, Stade de Nice)
Robo Fainali
Alhamisi Juni 30
Robo Fainali ya 1, (2200, Stade Velodrome, Marseille)
Ijumaa Julai 1
Robo Fainali ya 2, (2200, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumamosi Julai 2
Robo Fainali ya 3, (2200, Stade de Bordeaux)
Jumapili Julai 3
Robo Fainali ya 4, (2200, Stade de France, Paris)
Nusu Fainali
Jumatano Julai 6
Mshindi Robo Fainali ya 1 v Mshindi Robo Fainali ya 2 (2200, Stade de Lyon)
Alhamisi Julai 7
Mshindi Robo Fainali ya 3 v Mshindi Robo Fainali ya 4 (2200, Stade Velodrome, Marseille)
Fainali
Jumapili Julai 10
(2200, Stade de France, Paris)

 France beat Albania


sssssssssssssssssssssssssssssssssss

Viwanja 10 vya Mechi za Fainali:
Stade de Bordeaux, Bordeaux (Watu 42,000)
Stade Bollaert Delelis, Lens Agglo (35,000)
Stade Pierre Mauroy, Lille Metropole (50,100)
Stade de Lyon, Lyon (58,000)
Stade Velodrome, Marseilles (67,000)
Stade de Nice, Nice (35,000)
Parc des Princes, Paris (45,000)
Stade de France, Saint-Denis (80,000)
Stade Geoffroy Guichard, Saint-Etienne (41,500)
Stadium de Toulouse, Toulouse (33,000)
**Fainali itachezwa Stade de France

sssssssssssssssssssssssssssssssssssssss

EURO 2016 

MAKUNDI:
KUNDI A: France, Romania, Albania, Switzerland.
KUNDI B: England, Russia, Wales, Slovakia.
KUNDI C: Germany, Ukraine, Poland, Northern Ireland.
KUNDI D: Spain, Turkey, Czech Republic, Croatia.
KUNDI E: Belgium, Republic of Ireland, Sweden, Italy.
KUNDI F: Portugal, Iceland, Austria, Hungary.
Fainali zitafanyika lini:
-Euro 2016 itaanza Ijumaa Juni 10 na kumalizika Jumapili Julai 10.
-Hii ni mara ya kwanza kwa Fainali hizi kuwa na Timu 24 na hivyo itakuwepo Raundi ya Mtoano ya Timu 16, kisha Robo Fainali na Nusu Fainali.




No comments:

Post a Comment